Kuteswa Kwake

Kuteswa Kwake
ChoirTBA
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)

Kuteswa Kwake Lyrics

 1. Kuteswa kwake Bwana kulinipa wokovu
  Siachi kumwimbia pote niendapo

  Aliyeniokoa ni Yesu
  Aliyevumilia mateso
  Aliyemwaga damu mtini,
  Ndiye(ndiye) Bwana Wangu *2

 2. Kwa kunipenda mimi aliwambwa akafa,
  Ni pendo la ajabu kunifilia
 3. Rohoni nimeoshwa kwa damu ya thamana,
  makosa yameoshwa naye mwokozi