Mkizipenda Sheria Zangu

Mkizipenda Sheria Zangu
Choir-
CategoryMafundisho ya Yesu

Mkizipenda Sheria Zangu Lyrics


{ Mkizipenda sheria zangu
Nitawaombea kwa Baba yangu
(na yeye) atamtuma Roho wa kweli
(ndiye) atakaye wafariji mioyo } *2


1. Nyumbani mwa Baba kuna mengi,
Kwa kweli atawapa makao *2

2. Sitawaacha kama yatima,
Nitamtuma Roho wa kweli *2

3. Kwa kweli mkinipenda mimi, na
Baba yangu atawapenda *2

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442