Harusi ya Mungu

Harusi ya Mungu
Performed by-
CategoryHarusi
Views4,576

Harusi ya Mungu Lyrics

  1. Harusi ya Mungu
    Harusi ni siri kwa wale walioitimiza *2
    Mnapoahidi
    Wakristu wote wanashuhudia yale mnayosema *2.
    Ni dhahabu yenu
    Muitunze kila siku, isijechafuke *2
    Naye Mungu
    Wa uwezo maishaini mwenu awasaidie *2
  2. Mtakatifu Paulo,Katika waraka wake kwa
    Waefeso sura ya tano
    Aliwaambia. Waume wapendeni wake zenu
    kama miili yenu
    Nanyi wanawake, Mtii waume zenu
    kama vile apendayo Bwana
  3. Mliowaona, Kumbukeni siri
    hii ni siri ya ndoa ya rohoni
    Kujipamba kwenu, Kusiwe kwa nje tu,
    bali mzipambe roho zenu