Maria Mama Wa Mungu Lyrics

MARIA MAMA WA MUNGU

@ Fr. D. Ntampambata

{ Maria Mama wa Mungu, (Maria)
Utuombee sisi wakosefu } *2

  1. Salamu Maria umejaa neema, umebarikiwa Mama
  2. Bwana yuko nawe, umejaa neema, umebarikiwa Mama
  3. Kuliko wake wote, umejaa neema, umebarikiwa Mama
  4. Wewe mama yetu, mejaa neema, umebarikiwa Mama
Maria Mama Wa Mungu
COMPOSERFr. D. Ntampambata
CHOIRSt. Cecilia Mwenge Dsm
ALBUMTunakushukuru Mama Maria
CATEGORYBikira Maria
MUSIC KEYG Major
TIME SIGNATURE2
4
NOTES Open PDF
  • Comments