Salamu Maria Mama wa Mungu

Salamu Maria Mama wa Mungu
Performed bySt. Cecilia Mwenge Dsm
AlbumTunakushukuru Mama Maria
CategoryBikira Maria
ComposerFr. D. Ntampambata
Views7,781

Salamu Maria Mama wa Mungu Lyrics

  1. Salamu Maria Mama wa Mungu
    Sisi wanao twakusalimu
    Salamu Maria Mama wa Mungu
    Sisi wanao twakusalimu

  2. Tunakujia ututazame,
    sisi wanao twakuimbia
  3. Wewe ni nguzo ya wasafiri,
    sisi wanao twakuimbia
  4. Wewe ni mlango wa uwinguni,
    sisi wanao twakuimbia
  5. Ututazame ee Mama mwema
    tukipambana na matatizo