Bwana Aliwaambia Mitume

Bwana Aliwaambia Mitume
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
ComposerJ. Simya
Views3,787

Bwana Aliwaambia Mitume Lyrics

  1. {Bwana aliwaambia mitume nendeni kote
    Nendeni kote
    Kuwahubiria mataifa yote neno
    Neno la Mungu } *2
    {
    Heri wenye kusikia neno lake
    Wana heri ya kumwona Mungu wetu
    Neno lake Bwana ni la uzima } *2

  2. Tangazeni Neno lake Mungu wetu
    Mataifa yamwamini yaokoke
  3. Heri wenye kusikia na kutii
    Wana haki ya kumwona Mungu wetu