Ewe Maria Umebarikiwa

Ewe Maria Umebarikiwa
Performed by-
CategoryBikira Maria
Views5,362

Ewe Maria Umebarikiwa Lyrics

  1. {We Maria
    Umebarikiwa kuliko wanawake wote
    Umetuzalia Mtoto Mwanaume } *2
    Mwenye ufalme mabegani mwake * 2

  2. Bikira Maria umebarikiwa kuliko wanawake wote
    Umetuzalia mtoto mwanaume, mtawala ni mfalme wetu
  3. Mtoto mwanaume ni Bwana mtawala wa Mbingu na dunia
    Maria ni Mama, ni Mama wa Mungu, pia ni mama yetu sisi
  4. Ee Mama wa Mungu tunakupongeza kwa kutuletea Mwokozi
    Maria twaomba maombi yetu yafike kwa Yesu mwanao