Kazaliwa Mtoto Mungu Lyrics

KAZALIWA MTOTO MUNGU

Kazaliwa mtoto Mungu, binadamu wote furahini
Kazaliwa Mtoto Mungu, umwendee wimbo wangu

 1. Tangu elfu nne miaka
  walimwagua manabii
  Tangu elfu nne miaka
  twamngojea na kumtaka
 2. Ni mzuri, ni mpendelevu,
  kitoto hicho Mwana mpenzi,
  Ni mzuri, ni mpendelevu,
  mwenye adhama, mtukufu
 3. Banda la wanyama nyumbaye,
  Kitanda chake ni manyasi
  Banda la mnyama nyumbaye
  Kwa Mungu hali gani je?
 4. Atakaye nyoyo zetu
  Zikae naye urafiki
  Atakaye nyoyo zetu
  Mara moja tumtoe tu
Kazaliwa Mtoto Mungu
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
SOURCETanzania
 • Comments