Amezaliwa Yesu

Amezaliwa Yesu
Choir-
CategoryNoeli (Christmas Carols)
SourceTanzania

Amezaliwa Yesu Lyrics

1. Amezaliwa Yesu - tuimbe aleluya
Ni Mwana wake Mungu - tuimbe aleluya


Aleluya Mwokozi wa dunia aleluya
Kashuka kwetu sisi
Amezaliwa Yesu tuimbe aleluya


2. Amezaliwa mjumbe - tuimbe aleluya
Wa shauri kuu la Mungu - tuimbe aleluya

3. Uzima wake Baba - tuimbe aleluya
Umetujia leo - tuimbe aleluya


4. Mipaka ya dunia - tuimbe aleluya
Ione usalama - tuimbe aleluya

5. Malaika waliimba - tuimbe aleluya
Kwa shangwe na furaha - tuimbe aleluya

6. Utukufu kwa Mungu - tuimbe aleluya
Amani duniani - tuimbe aleluya

7. Pamoja nao sisi - tuimbe aleluya
Twende tumwabudu - tuimbe aleluya

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Zaeni Matunda Mema 5814860
Sasa Wakati Umefika 7482439
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442