Haya Twendeni Wote Lyrics

HAYA TWENDENI WOTE

@ I. P. Nganga

{ Haya twendeni wote kule Bethlehemu,
tukamwone, tukamwone, Mkombozi wetu } *2

 1. Amelazwa nyasini -huyo mtoto Yesu
  Mnyonge na mkiwa - huyo mtoto Yesu
  Haya twende, haya twende
 2. Maria na Yosefu - huko Bethlehemu
  Wanamsujudu mtoto - huko Bethlehemu
  Haya twende, haya twende
 3. Wachunga waenda mbio - huko Bethlehemu
  Kumwona mtoto Yesu - huko Bethlehemu
  Haya twende, haya twende
 4. Malaika waimba - huko Bethlehemu
  Kumsifu Bwana wetu - kaja duniani
  Haya twende, haya twende
Haya Twendeni Wote
COMPOSERI. P. Nganga
CHOIRSt. Peter Oysterbay
ALBUMNyimbo za Noeli
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
 • Comments