Abrahamu Alimchukua Mwanawe

Abrahamu Alimchukua Mwanawe
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views6,417

Abrahamu Alimchukua Mwanawe Lyrics

  1. Abrahamu alimchukua mwanawe, Isaka
    Akaenda kumtoa sadaka

    Bwana Mungu alimuita Abrahamu
    Usimchinje mwanao (lakini) tazama nyumba yako
    (kondoo) ukamtoe sadaka

  2. Naye Isaka alimwuliza babaye, Abarahamu
    Kuni na moto zipo lakini kondoo yuko wapi
  3. Naye Abrahamu alimjibu mwanawe, Isaka
    Kuni na moto zipo lakini kondoo Mungu atatupa