Shangwe za Paska

Shangwe za Paska
Performed by-
CategoryPasaka (Easter)
ComposerBernard Mukasa
Views3,901

Shangwe za Paska Lyrics

  1. Naimba shangwe za Paska, aleluya
    Mfalme amefufuka, aleluya

    {Njooni tumpongeze, tumshangilie
    Yesu Kristu Mwokozi wetu, aleluya } *2

  2. Yu hai na hafi tena, aleluya
    Ameagana na kifo, aleluya
  3. Wayahudi walimwua, aleluya
    Walidhani wameshinda, aleluya
  4. Utukufu na ukuu, aleluya
    Una yeye milele, aleluya
Traditional, Harmony by B. Mukasa