Neema ya Kijani

Neema ya Kijani
Performed by-
AlbumBwana ni Alfa na Omega
CategoryTafakari
ComposerBernard Mukasa
Views2,874

Neema ya Kijani Lyrics

  1. Aliwaumba Mungu akawapa neema
    Iwasaidie mnazichezea mtazikumbuka ninyi ao wanadamu

    Acha kuyaharibu mazingira
    Chanzo cha mito kuganda uoto
    Ni zawadi tumejaliwa na Mungu
    Nasi tuitunze ilivyo neema ya kijani

  2. Kukata miti ovyo ni kuharibu kazi ya uumbaji wa Mungu
  3. Kuunguza misitu bila sababu kunapunguza neema ya kijani
  4. Kutupa taka bila utaratibu, kunaushusha thamani utu wetu
  5. Kulima shamba kwenye vyanzo vya maji ni kuharibu urithi wa watoto