Login | Register

Sauti za Kuimba

Ee Baba Yetu Upokee Sadaka Lyrics

EE BABA YETU UPOKEE SADAKA

@ Basil Lukando

Ee Baba yetu upokee sadaka *2
Ndiyo mapato ya kazi yetu za wiki
Tunakuomba upokee Baba

  1. Pokea mkate huu, pokea divai hii uitakate
    Ni mazao yetu toka mashambani, uitakate
  2. Pokea fedha hii tunakutolea uitakate
    Ndiyo bidii baba uliyotujalia uitakate
  3. Na maombi yetu, Baba uyapokee sisi ni wako
    Kwani uwezo wote una wewe Baba tusikilize
Ee Baba Yetu Upokee Sadaka
COMPOSERBasil Lukando
CHOIRSt. Cecilia Mwenge Dsm
ALBUMViuzeni Mlivyo Navyo
CATEGORYOffertory/Sadaka
SOURCEDar-es-Salaam Tanzania
  • Comments