Ee Bwana Twaomba Upokee

Ee Bwana Twaomba Upokee
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerG. Matui
Views4,371

Ee Bwana Twaomba Upokee Lyrics

  1. Ee Bwana twaomba upokee sadaka yetu hii tunayokutolea
    { Twakusihi sana ibariki Baba
    iwe safi sana iwe kama ile ya Abeli } *2

  2. Baba twaleta mkate na divai, kazi ya mikono yetu Baba
    Ibariki Baba, iwe safi sana iwe kama ile ya Abeli
  3. Baba twaleta na fedha zetu, japo ni kidogo sana Baba
    Zipokee Baba, zikupendeze ziwe kama zile za Abeli
  4. Baba twaleta na sala zetu, Baba twakuomba zisikilize
    Twakusihi sana, zisikilize kama sala zile za Abeli