Login | Register

Sauti za Kuimba

Naenda Mimi Nikatoe Lyrics

NAENDA MIMI NIKATOE

@ G. Matui

Naenda mimi nikatoe zawadi nikampe Mwokozi wangu
Naenda mimi nikatoe zawadi Japo kidogo nitakachotoa ninamuomba apokee

  1. Ule wakati ndugu umefika wa kumpa Mungu wako zawadi
    Nenda katoe ulicho nacho kampe Mungu wako
  2. Hata kidogo ndugu ukatoe, Mungu wako kwani anakuona
    Nenda katoe ulicho nacho kampe Mungu wako
  3. Ulivyo navyo ndugu vya Bwana usisite usimame katoe
    Nenda katoe ulicho nacho kampe Mungu wako
Naenda Mimi Nikatoe
COMPOSERG. Matui
CATEGORYOffertory/Sadaka
SOURCEDar-es-Salaam Tanzania
  • Comments