Kuimba ni Raha

Kuimba ni Raha
Choir-
CategoryUtume wa Uimbaji
ComposerBernard Mukasa
SourceDar-es-Salaam Tanzania
Musical Notes
Timesignature6 16
MusickeyG Major
NotesOpen PDF

Kuimba ni Raha Lyrics


Ni raha ni raha kuimba ni raha
Kumwimbia Bwana
Ni raha ni raha kuimba ni raha
Kumwimbia Bwana


1. Pazeni sauti wapendwa imbeni
Mtatambua ilivyo raha
Tangazeni sifa za Bwana popote,
Ni baraka na ni raha sana jamani

2. Sauti zetu zikifika kwa Mungu,
Malaika wataimba raha
Nazo zikimpendeza atashusha,
Heri neema na raha sana jamaani

3. Tukimwimbia kwenye shida na tabu
Anatuhurumia sana
Kwenye huzuni ataleta faraja
Nguvu amani na raha sana jamani


4. Kwenye mafanikio tunayopata
Tumshukuru kwa nyimbo Bwana
Atazidisha baraka zake kwetu
Tudumu katika raha sana jamani

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442