Wewe Bwana Nguvu Yangu

Wewe Bwana Nguvu Yangu
Performed by-
CategoryTBA
ComposerJohn Mgandu
Views4,353

Wewe Bwana Nguvu Yangu Lyrics

  1. Wewe Bwana nguvu yangu nakupenda sana wewe
    Bwana ni jabali langu ni jabali na boma langu na Mwokozi wangu

  2. Mungu wangu Mwamba wangu ninayekukimbilia
    Ngao yangu na pembe ya wokovu wangu na ngome yangu
  3. Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa
    Hivyo nitaokoka na adui zangu
  4. Bwana ndiye aliye hai na atukuzwe Mungu wa wokovu wangu
    Ampa wokovu mkuu amfanyia fadhili masihi wake