Nitakushukuru kwa Kuwa Nimeumbwa Lyrics

NITAKUSHUKURU KWA KUWA NIMEUMBWA

@ John Mgandu

{Nitakushukuru nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa
Kwa jinsi ya ajabu, kwa jinsi ya ajabu ya kutisha} *2

  1. Ee Bwana umenichunguza na kunijua
    Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu
    Umelifahamu wazo langu tokea mbali
  2. Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu
    Umeelewa njia zangu njia zangu zote njia zangu zote
Nitakushukuru kwa Kuwa Nimeumbwa
COMPOSERJohn Mgandu
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
SOURCETanzania
  • Comments