Ee Bwana Utege Sikio

Ee Bwana Utege Sikio
Choir-
CategoryZaburi
ComposerJohn Mgandu
SourceTanzania

Ee Bwana Utege Sikio Lyrics


Ee Bwana, ee Bwana utege sikio lako unijibu *2
{Wewe uliye Mungu wangu umwokoe mtumishi wako
Mtumishi wako anayekutumaini } *2


1. Ee Bwana unifadhili, wewe Bwana unifadhili
Maana nakulilia wewe mchana kutwa

2. Kwa maana wewe Bwana wewe Bwana u mwema
Umekuwa tayari kusamehe watu waote wakuitao

3. Ee Bwana unifadhili, wewe Bwana unifadhili
Maana nakulilia wewe mchana kutwa

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442