Ee Bwana Ulimwengu Wote

Ee Bwana Ulimwengu Wote
ChoirSt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CategoryZaburi
ComposerJohn Mgandu
SourceTanzania
ReferenceEst. 13 : 9, 10-11
Musical Notes
Timesignature2 4
MusickeyA Flat Major
NotesOpen PDF

Ee Bwana Ulimwengu Wote Lyrics


Ee Bwana ulimwengu wote u katika uweza wako
{Wala hakuna awezaye kukupinga
Wala hakuna awezaye kukupinga ukipenda }*2


1. Wewe umeumba vyote Mbingu na nchi
Na vitu vyote vya ajabu vilivyomo chini ya Mbingun
Ndiwe Bwana Bwana wa vyote

2. Kwa kuwa Bwana ni mkuu
Mwenye kusifiwa sana na wa kuhofiwa kuliko miungu
Maana miungu ya watu si kitu
Lakini Bwana ndiye aliyezifanya Mbingu
Umerekodiwa na kwaya kadhaa Tanzania, ikiwemo * Kwaya ya Familia Takatifu, Kanisa kuu la Mt. Yosefu Jimbo la Dar-es-Salaam, Tanzania

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442