Bwana ni Nuru Yangu

Bwana ni Nuru Yangu
ChoirBlessed Joseph Allamano Mshindo Iringa
AlbumWatu Wamekengeuka
CategoryZaburi
ComposerJohn Mgandu
SourceTanzania

Bwana ni Nuru Yangu Lyrics


Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu *2
Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu *2
{Nimwogope nani, nimwogope nani, nimwogope nani
Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu }*21. Bwana ni ngome ya uzima na uzima wangu
Nimhofu nani nimhofu nani

2. Ee Bwana usikie kwa sauti ninalia
Unifadili unijibu unifadhili unijibu

3. Moyo wangu umekuambia, Moyo wangu umekuambia
Bwana Bwana Bwana Bwana uso wako nitautafuta
Recorded by * Blessed Joseph Allamano Mshindo Iringa - * Blessed Mother Teresah Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442