Mwili wako Yesu Mwema

Mwili wako Yesu Mwema
ChoirTBA
CategoryEkaristia (Eucharist)
SourceTanzania

Mwili wako Yesu Mwema Lyrics

Mwili wako Yesu mwema unatushibisha
Damu yako hakika inatuburudisha

 1. Mema yote tunayoyapata maishani
  Yanatuonya imani twatambua kuwa
 2. Mbali nawe tunayo makubwa masumbuko
  Twaja kwako kutulizwa kwa kuwa twajua
 3. Ni bahati kushinda ile ya malaika
  Na wanadamu kumla Bwana twashukuru kwani
 4. Mapendo uliyotuonyesha msalabani
  Yanashinda ufahamu kwetu sisi kweli
 5. Na baadaye tukisha kupita uzima huu
  Utupokee Mbinguni tufurahi nawe