Bwana Amepaa Mbinguni

Bwana Amepaa Mbinguni
Choir-
CategoryKupaa kwa Bwana (Ascension)
SourceTanzania

Bwana Amepaa Mbinguni Lyrics


Bwana amepaa Mbinguni aleluya (kweli)
Bwana amepaa kwa shangwe aleluya1. Ninapaa kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu
Kwa Mungu wangu na Mungu wenu

2. Mioyo yenu isihuzunike
kwa maana ninakwenda kwa Baba

3. Ninakwenda uwatengezea mahali
Nitakwenda tena kuwachukua

4. Ili mpate kuwapo
nilipo mimi

5. Kutoka Mbinguni, atakuja Mwokozi tunayemtazamia
Ndiye Bwana Yesu Kristu

6. Bwana atageuza, miili yetu ya unyonge
Upate kufanana na mwili wake na utukufu

7. Kristu alikufa
kwa ajili yetu akafufuka

8. Amekaa kuume kwa Baba
Ndiye anaye tuombea

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442