Mfalme Mtukufu

Mfalme Mtukufu
Performed by-
CategoryJumapili ya Matawi (Palm Sunday)
Views3,182

Mfalme Mtukufu Lyrics

  1. Mfalme mtukufu mpeni heshima
    Fungueni lango ataingia
    Mfalme gani huyu mwenye heshima
    Ndiye mwenye nguvu ya kutawala

  2. Lango la milele wazi funguka
    Kwani mfalme wetu anaingia
    Mfalme gani huyu mwenye heshima
    Bwana wa malaika mwenye Imara
  3. Enyi binadamu wenye ibada
    Na majeshi yote ya malaika
    Tumwabudu Bwana tukamsifie
    Tukamtukuze neno, tukamnyenyekee