Roho Mtakatifu Mungu Lyrics

ROHO MTAKATIFU MUNGU

Roho Mtakatifu Mungu tushushie leo mapaji ya Mbingu

  1. Ukiwa mbali peke yetu hatuwezi jambo jema
    Tuna dhambi tunakosa tu ukija ndani yetu twapona tu wema
  2. Mbaya wetu shetani mdanganyifu atuzungusha na mitego
    Twaogopa kwani tu wakosefu tupe nguvu tusiche hilaye
  3. Tufunze hekima ya taratibu siku zote tukimtii Rabi
    Tujiweke tayari kwa hesabu tuepuke na dhambi
Roho Mtakatifu Mungu
CATEGORYRoho Mtakatifu (Pentecoste)
SOURCETanzania
  • Comments