Aleluya Aleluya

Aleluya Aleluya
Choir-
CategoryPasaka (Easter)
SourceTanzania

Aleluya Aleluya Lyrics

Aleluya aa aleluya *21. Mwokozi tunakuabudu,
twakusalimu aleluya

2. Amefufuka alivyosema,
siku ile ya tatu aleluya

3. Ametoka kaburini asubuhi,
ameshinda mauti aleluya

4. Akaja malaika Mbinguni,
jiwe kaliondoa aleluya

5. Wakaja wanawake kuona,
kaburi liko wazi aleluya

6. Kumbe Yesu hayupo tena,
kwani amefufuka, aleluya

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442