Amefufuka Yesu

Amefufuka Yesu
Choir-
CategoryPasaka (Easter)
SourceTanzania

Amefufuka Yesu Lyrics

1. Amefufuka Yesu aleluya, aleluya
Mwokozi wetu ameshinda mauti na kaburi
Akaupata utukufu wake Mungu milele
{Aleluya, aleluya * 2 aleluya * 2 } *2

2. Amefufuka Yesu aleluya, aleluya
Hakika leo Mwokozi wetu amefufuka
Mapema asubuhi leo Yesu amefufuka
{Aleluya, aleluya * 2 aleluya * 2 } *2

3. Amefufuka Yesu aleluya, aleluya
Mayahudi walifurahi kwamba Yesu amemshinda
Wakasahau kuwa yeye ndiye Mungu na mtu
{Aleluya, aleluya * 2 aleluya * 2 } *2

4. 1. Amefufuka Yesu aleluya, aleluya
Askari wakichunga mlango wakatoka mbio
Wakauliza huyu nani mwenye nguvu hiyo
{Aleluya, aleluya * 2 aleluya * 2 } *2

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Zaeni Matunda Mema 5814860
Sasa Wakati Umefika 7482439
Huniongoza Mwokozi 5814856
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442