Jahazi Jahazi

Jahazi Jahazi
Performed by-
CategoryTBA
Views3,466

Jahazi Jahazi Lyrics

  1. Bwana jahazi letu, kweli laangamia
    {Mawimbi yametuzidia jahazi ladidimia} *2
    Wale papa na nyangumi wataka watumeze sisi

  2. Jahazi, jahazi we!
    Jahazi limejaa mizigo ya dhambi na chuki
    Ewe Bwana tuondolee jahazini kwa kweli
  3. Jahazi, jahazi we!
    Jahazi lina masengenyano fitina inapatikana we!
    Tuondolee jahazini kwa kweli
  4. Jahazi, jahazi we!
    Jahazi lako Bwana nataka lenye uzima wa milele
    Ni jahazi la neema kwa kweli