Mwimbieni Binti Sayuni

Mwimbieni Binti Sayuni
Choir-
CategoryJumapili ya Matawi (Palm Sunday)

Mwimbieni Binti Sayuni Lyrics

 1. Mwimbeni binti sayuni, ee watu
  Yuaja ni mwenye upole
  Tazama ufalme wake yuaja kwetu
  Kapanda punda mwanapunda

  Sauti, tuimbe, hosanna *2

  Na zipazwe leo na tumwimbie (Yesu)
  Hosanna hosanna
  Mwokozi, anawaita nyumbani, wana Daudi
  (Yesu) amekuja kwa jina la Bwana
  Wanamwimbia (Yesu)

 2. Tandikeni nguo zenu, Bwana apite
  Mbarikiwa anakuja
  Pambazeni njia kwa maua mazuri
  Mbarikiwa anakuja
 3. Fungueni mioyo yenu kwake,
  Apate kuingia ndani
  Mpokeeni Bwana mioyoni mwenu
  Bwana mwenye upole mwingi