Mfalme wa Amani Tumwimbie

Mfalme wa Amani Tumwimbie
Performed by-
CategoryJumapili ya Matawi (Palm Sunday)
Views3,694

Mfalme wa Amani Tumwimbie Lyrics

  1. Mfalme wa Amani - tumwimbie hosanna juu *2

  2. Anakuja kwetu - hosanna juu
    Mwana wa Daudi - hosanna juu
  3. Anapanda punda - hosanna juu
    Mfalme mtukufu - hosanna juu
  4. Tumshangilie - hosanna juu
    Aleta amani - hosanna juu
  5. Njooni na matawi - hosanna juu
    Furaha na shangwe - hosanna juu
  6. , Tandikeni nguo - hosanna juu
    Miguuni pake - hosanna juu
  7. Ameumba vyote - hosanna juu
    Atawala vyote - hosanna juu
  8. Njooni Mahebruni - hosanna juu
    Njooni na watu wote - hosanna juu
  9. Imbeni zaburi - hosanna juu
    Mfalme aingie - hosanna juu
  10. Mbarikiwa huyo - hosanna juu
    Yeye ajaye - hosanna juu
  11. Hosanna hosanna - hosanna juu
    Hosanna hosanna - hosanna juu