Ni Injili Yake Mungu

Ni Injili Yake Mungu
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Views4,125

Ni Injili Yake Mungu Lyrics

  1. Ni Injili yake Mungu inaingia
    Ni Injili yake Mungu inaingia *2

    Ni Injili yake Mungu tunaileta
    Ni Injili yake Mungu tunaileta *2

    Natamani kulisoma neno hilo
    Neno lake Mungu Neno la uzima *2

  2. Tutangaze neno lake Mungu njema
    Katikati yetu na waumini wote *2
  3. Nipeleke ujumbe wake Mungu wetu
    Kwa kabila zote na waumini wote *2
  4. Nieleze Injili yake Mungu Baba
    kwa hekalu lake na wapendwa wote *2
  5. Nitangaze Injili yake Mungu Baba
    Kwa taifa lote na wafuasi wote