Msifadhaike Mioyoni

Msifadhaike Mioyoni
ChoirTBA
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
SourceTanzania

Msifadhaike Mioyoni Lyrics

 1. Msifadhaike, mioyoni mwenu,
  Mwaamini Mungu Baba Mbinguni,
  Niamini na mimi *2

  Nyumbani mwa Baba, mna makao
  Mkajitahidi kuomba *2
  /s/ Nafasi ziko, nafasi zisingali kuweko
  Ningaliwaambia leo nakwenda mimi
  /b/ (Kuwaandalia) kisha nitakwenda na mimi kwa Baba

 2. Tomaso akamwambia, Bwana sisi hatujui uendako wewe
  Nasi twaijuaje njia *2
 3. Mimi ndimi njia na ukweli na uzima
  Mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi