Utavuna Ulichokipanda

Utavuna Ulichokipanda
Performed by-
CategoryTBA
Views6,407

Utavuna Ulichokipanda Lyrics

  1. Shambani mwa Bwana, kuna kazi nyingi mbalimbali
    Na kila mtu kile apandacho ndicho atakachovuna

    Utavuna ulichopanda, utavuna ulichopanda *3
    Yesu Bwana ndiye mchungaji mwema
    Utavuna ulichopanda, utavuna ulichopanda

  2. Aliwaambia wanafunzi wake wakahubiri Injili
    Na kila mtu kile apandacho ndicho atakachovuna
  3. Na wewe ndugu usiyeamini unayetangatanga
    Na kila mtu kile apandacho ndicho atakachovuna