Login | Register

Sauti za Kuimba

Una Heri Una Heri Lyrics

UNA HERI UNA HERI

@ P. F. Mwarabu

Una heri una heri Mama Bikira Maria *2

 1. Mama wa mwokozi, Maria, Mama Bikira Mtakatifu,
  Mama bora mwenye huruma, 'takuheshimu siku zote Maria
 2. Bikira uliyekingiwa, mbarikiwa Mama Maria
  Bikira usiye na doa, 'takutukuza daima Maria
 3. Uliyebarkiwa sana, kuliko wanawake wote
  Uliyejaa neema nyingi, tunakusifu Mama yetu Maria
 4. Mama mwenye usafi wa moyo Mama Bikira mpendelevu
  Mama Malkia mwaminifu, una heri kweli milele Maria
Una Heri Una Heri
COMPOSERP. F. Mwarabu
CHOIRSt. Cecilia Mwenge Dsm
ALBUMNakupenda Maria
CATEGORYBikira Maria
 • Comments