Bikira Maria Uliyekingiwa Dhambi

Bikira Maria Uliyekingiwa Dhambi
Performed by-
CategoryBikira Maria
Views5,483

Bikira Maria Uliyekingiwa Dhambi Lyrics

  1. Bikira Maria uliyekingiwa ya asili
    Ee Mama utuombee sisi kwa mwanao mpenzi
    Yesu Kristu aliye mbunguni

  2. Dhambi ya asili hukuipata
    Ili umzae mwanao Mungu
  3. Wewe wasifiwa ulimwenguni
    Na malaika wanakusifu
  4. Kichwa cha shetani wakikanyaga
    Wewe ni mshinda wa hila zake
  5. Utusaidie katika shida
    Usituache tuangamie
  6. Uisimamie safari yetu
    Ya kwenda kwake Mungu mbinguni