Nitafurahi Sana Katika Bwana

Nitafurahi Sana Katika Bwana
Performed bySt. Cecilia Mwenge Dsm
AlbumAsante Mama wa Yesu
CategoryBikira Maria
ComposerFr. G. F. Kayeta
Views6,930

Nitafurahi Sana Katika Bwana Lyrics

  1. Nitafurahi sana katika Bwana
    Bwana amenivika mavazi ya wokovu
    Amenifunika vazi la haki
    Kama bibi harusi ajipambavyo
    Kwa vyombo vya dhahabu, vyombo vya dhahabu

  2. Nitafurahi sana katika Bwana
    Nafsi yangu itashangilia katika Mungu
  3. Bwana amenivika mavazi ya wokovu
    Amenifunika vazi la haki kama bibi harusi
    Ajipambavyo kwa vyombo vya dhahabu