Login | Register

Sauti za Kuimba

Nitaimba kwa Furaha Lyrics

NITAIMBA KWA FURAHA

@ P. F. Mwarabu

{Nitaimba kwa furaha, na kucheza kwa maringo
Nikitaja na kusifu jina lako Maria} *2

  1. Jina lako takatifu, nitaliimba kwa shangwe
    Jina lako lenye heri, nitalisifu daima
  2. Pamoja na malaika, nitalisifu kwa shangwe
    Jina lako ee Maria, jina lenye kupendeza
  3. Jina la Mama wa Yesu, jina la Malkia mwema
    Jina la Mama wa Mungu, nitalitukuza sana
Nitaimba kwa Furaha
COMPOSERP. F. Mwarabu
ALBUMUwe Nasi Mama Maria
CATEGORYBikira Maria
SOURCEArusha Tanzania
  • Comments