Heri Maria Lyrics

HERI MARIA

Tumuimbie Mama Yetu Maria,
heri Maria heri mama uliyebarikiwa
Tumuimbie kwa furaha na shangwe
heri Maria heri mama uliyebarikiwa

 1. Maria Mtakatifu mama wa Mbingu
  heri Maria heri mama uliyebarikiwa
  Maria uliyejaa neema nyingi
  heri Maria heri mama uliyebarikiwa
 2. Maria uliyemzaa mkombozi
  Heri Maria heri mama uliyebarikiwa
  Maria uliyemlea mtoto yesu
  Heri Maria heri mama uliyebarikiwa
 3. Mama Maria mwema usiye na doa
  Heri Maria heri mama uliyebarikiwa
  mama Maria mpole na mwenye huruma
  Heri Maria heri mama uliyebarikiwa
 4. Ngoma za shangwe tumchezee Maria
  Heri Maria heri mama uliyebarikiwa
  Vigelegele tumpigie Maria
  Heri Maria heri mama uliyebarikiwa
Heri Maria
ALT TITLETumuimbie Mama Yetu Maria
CHOIRKwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha
ALBUMUwe Nasi Mama Maria
CATEGORYBikira Maria
SOURCEArusha Tanzania
 • Comments