Login | Register

Sauti za Kuimba

Hongera Mama Yetu Maria Lyrics

HONGERA MAMA YETU MARIA

Hongera Mama Yetu - Maria
Kumzaa Mwana - mfaLme
Hongera hongera mama yetu
Kwa kumzaa mtoto Yesu
Mfalme na mkombozi wa wanadamu

 1. Kwa utii wako Maria, ulikubali kumzaa mtoto
  Mwanamume, kwa nini tusikuheshimu
 2. Mwenyezi amekuchagua, kumzaa mkombozi
  Mwokozi wa ulimwengu, kwa nini tusikuheshimu
 3. Mwenyezi amekukingia, ile dhambi ya asili
  Hauna doa mama, kwa nini tusikuheshimu
 4. Umemzaa Mwokozi na bado ukabaki bikira
  Bikira milele, kwa nini tusikuheshimu
Hongera Mama Yetu Maria
CHOIRKwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha
ALBUMUwe Nasi Mama Maria
CATEGORYBikira Maria
SOURCEArusha Tanzania
 • Comments