Login | Register

Sauti za Kuimba

Mama wa Msaada Lyrics

MAMA WA MSAADA

Mama wa msaada Maria tusaidie
Maombezi yako Maria ni nguzoyetu
Tutangulie mama katika safari
ya kwenda Mbinguni tuongoze mama

  1. Mama mwenye huruma msaada wetu Wakristu
    Mama simama mbele yetu nasi tuwe nyuma yako tunaposafiri
  2. Tunatumaini kwako, kutukumbatia wanao
    Twajua ni wewe mama yetu tunapokulilia mama usituache
  3. Tulitaje jina lako kwa taji wote
    Twajua wewe ndiwe mwombezi wetu tuweze shinda maovu tunaposafiri
Mama wa Msaada
ALBUMUwe Nasi Mama Maria
CATEGORYBikira Maria
SOURCEArusha Tanzania
  • Comments