Salamu Mama Maria

Salamu Mama Maria
ChoirKwaya ya Malkia wa Mitume Parokia ya Vincent Palloti Arusha
AlbumUwe Nasi Mama Maria
CategoryFamilia
SourceArusha Tanzania

Salamu Mama Maria Lyrics

{Salamu mama Maria, salamu Mama Maria
Mama Salamu Mama salamu, } *2
{Mama umejaa neema (kweli)
Umebarikiwa salamu mama salamu} *2


1. Ee Mama mwema ee mama wa Mkombozi, twakupenda Mama

2. Katika shinda ndiwe kimbilio letu, Mama wa neema

3. Utuombee kwa mwanao Yesu Kristu, tufike Mbinguni

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442