Bwana Alikuwa Tegemeo

Bwana Alikuwa Tegemeo
ChoirSt. Ambrose Kikuya Arusha
CategoryZaburi
ComposerAjabu J. Ndahitobhotse

Bwana Alikuwa Tegemeo Lyrics

 1. {Bwana alikuwa - tegemeo langu ooh aee
  Bwana alikuwa tegemeo langu ooh aee } *2
  { Akanitoa (oh oh ) akanipeleka (pale) panapo nafasi
  Aee ooh ooh Akaniponya (mimi)
  kwa kuwa aipendezwa nami } *2

 2. Bwana alinitendea sawasawa na haki yangu
  Maana nimezishika njia zake
  wala sikumuasi Mungu
 3. Nimeshika maagizoye,
  Sikuacha na amri zake
  Mbele za Bwana sikuwa na hatia
  Nikainua wema wangu mbele zake
 4. Atukuzwe Baba na Mwana
  Naye Roho Mtakatifu
  Kama mwanzo na sasa na siku zote
  Na milele milele yote, amina