Login | Register

Sauti za Kuimba

Iyelele Iyele Lyrics

IYELELE IYELE

@ Deo Kalolela

{ Iyelele iyele iyele iyele,
iyelele iyele iyele iyele } *2
Tazama inavyopendeza,
ndugu kuishi pamoja kwa upendo
Huku tukisaidiana, katika shida mbali mbali za maisha
Hilo ndilo pendo kamilifu, pendo alilotuachia Yesu *2

  1. Tuthamini maisha ya wenzetu wanyonge
    Tuwatunze yatima wazee na wajane
  2. Msaada na kwa watoto wa mitaani
    Msaada kwa wakimbizi wan chi zote
  3. Msaada kwa wote wasio na chakula
    Msaada kwa yeyote asiye na nguo
Iyelele Iyele
ALT TITLETazama Inavyopendezwa
COMPOSERDeo Kalolela
CHOIRSt. Cecilia Mavurunza
ALBUMIyelele
CATEGORYTafakari
MUSIC KEYB Flat Major
TIME SIGNATURE3
8
NOTES Open PDF


Recorded by several choirs including St. Cecilia Makuburi, St. Cecilia Mavurunza and Kapotive Singers
  • Comments