Login | Register

Sauti za Kuimba

Maria Bikira Tumshangilie Lyrics

MARIA BIKIRA TUMSHANGILIE

Maria Bikira tumshangilie ,
Mama yetu bora tumkimbilie.
Tumsifu , tumsifu
Tumsifu , Maria *2

  1. Pasipo kilema tangu asili
    Waitunza nzima hyo fadhili
  2. Kumwona malaika wafadhaika
    Nenole kubali ,tutaokoka .
  3. Wakushangilia humu vizazi ,
    Kwani wamfumbia wao mkombozi
Maria Bikira Tumshangilie
CATEGORYBikira Maria
  • Comments