Jambo Hili Ninalitamani Lyrics

JAMBO HILI NINALITAMANI

@ L. B. Bukombe

Jambo hili ninalitamani kwa moyo wangu wote ,*2
Maana katika msalaba (wake Kristu), mna wokovu *2
Kuujua kuupenda na kuuishi milele yote *2

  1. Maana wewe Bwana ,
    Mimi ninakutumainia kama mlinzi wangu
  2. Tawala maisha yangu,
    Nitende kwa uaminifu kazi yako wewe Bwana
  3. Niongoze milele,
    Niwachunge kondoo wako Bwana wasipotee
Jambo Hili Ninalitamani
COMPOSERL. B. Bukombe
CHOIRKwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha
ALBUMTufurahi
CATEGORYTafakari
MUSIC KEYE Major
TIME SIGNATURE2
4
SOURCEArusha Tanzania
NOTES Open PDF
  • Comments