Dunia Yasisimka

Dunia Yasisimka
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Composer(traditional)
Views2,927

Dunia Yasisimka Lyrics

  1. Dunia yasisimka kwa Injili /ya neno la Bwana,
    Nasi furaha tumejaa, aleluya/ale-aleluya.

    Neno lako ewe Bwana , litangazwe siku zote *2

  2. Roho wa Bwana yu juu/yako wewe / amekuteua,
    tuondolee upofu wetu wote tupate kuona.
  3. unatuletea sisi maskini/neno lako jema ,
    Na sisi tuliofungwa , usalama / tupate uhuru.
  4. unautangaza mwaka wa huruma/ na wa rehema kuu
    Tuliovunjika na kukata moyo / we' unatutibu
  5. Ndiwe nuru kwetu sisi wanadamu / ya kutuangaza,