Login | Register

Sauti za Kuimba

Njooni Nyote Tumshangilie Lyrics

NJOONI NYOTE TUMSHANGILIE

Njoni nyote tumshangilie Bwana Mungu wetu * 2

 1. Kwa maisha yetu - Tunakushukuru.
  Kwa mapendo yako - Tunakushukuru
 2. Kwa umoja wetu - Tunakutukuza
  Kwa imani yetu - Tunakutukuza
 3. Kwa furaha yetu - Tunakuheshimu
  Kwa uchungu wetu - Tunakuheshimu
 4. Na Kwa mazao yetu - Tunasema asante
  Hizi zote Baba - Tunakutolea
Njooni Nyote Tumshangilie
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
 • Comments