Sasa Nitayasimulia

Sasa Nitayasimulia
Performed bySt. Cecilia Kijenge
CategoryZaburi
ComposerY. Mahundi
Views2,633

Sasa Nitayasimulia Lyrics

  1. Sasa nitayasimulia matendo ya Bwana
    Nami (nami) nitayadhihirisha mambo (mambo) yale yote niliyoyaona
    Kwa Neno la Bwana
    vimekuwapo viumbe vimekuwapo viumbe vyote
    Na kazi impendezayo (kweli) ni sawasawa na amri yake

  2. Jua litoapo nuru hudhihirika pahali pote
    Na kazi ya Bwana imejaa utukufu
  3. Yeye huchunguza vilindi pia na moyo
    Wa binadamu na kuyatambua mashauri yake ya siri
  4. Maana aliye juu amaizi yote
    Yalo ujuzi naye hupendezwa na ishara za ulimwengu