Ndio Mkate wa Malaika

Ndio Mkate wa Malaika
ChoirSt. Antony of padua Magomeni
AlbumTwende Mezani
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerJoseph Makoye
SourceTanzania
Musical Notes
Time Signature4
4
Music KeyB Flat Major
NotesOpen PDF

Ndio Mkate wa Malaika Lyrics

Ndio mkate wa malaika, chakula cha wasafiri
Wenye raha ya milele, sio mkate wa kafiri

 1. Alhamisi Yesu Mwokozi, alisema kwa sauti
  Huu ndio mwili wangu, haya maneno magumu
 2. Vile vile Mwokozi wetu, alisema kama mwanzo
  Hii ndiyo damu yangu, tufanye hivyo daima
 3. Vyote ni kwa ajili yetu, ni kwa ajili ya wote
  kwa ondoleo la dhambi, twatubu makosa yetu
 4. Twakuomba Yesu Mwokozi, utupe chakula chetu
  tukiwa na moyo safi, utushibishe milele